MKURUNGEZI MTENDAJI WA CHAMA CHA JUBILEE JAMES WAWERU AFARIKI

Mkurungezi mtendaji wa chama cha james waweru ametangazwa kuwa amefariki katika hospitali ya Nairobi . hikiwemo rais uhuru Kenyatta Pamoja na jamaa na rafiki zake wamemtaja waweru kama mtu alipenda kufanya kazi yake kwa uaninifu nidhamu na moyo mkujufu kwani aliacha alama ya ubora popote alipotumikia.Waweru amehudumu kama kamishna wa mkoa wa Nairobi na katibu mkuu wa michezo.

watu 57 wahukumiwa kufanya huduma za jamii kwa kukiuka kanuni za covid-19.Mahakama ya kibera imewahukumu watu 57 kufanya huduma za jamii kwa muda wa wiki moja kwa kukiuka kanuni za covid-19.Waliachiliwa jumatatu na wako chini ya uwangalizi wa (NMS) hadi watakapomaliza hadhabu yao.Wataitajika kuripoti kwenye huduma hiyo kuwazia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni kila siku. Wanatarajiwa kufanya usafi katika soko la marikiti, muthurua kwa ujumla na mto wa Nairobi.Watakokeuka sheria watashikwa na kufikishwa mahakani kulingana na habari hiliyochapishwa na NMS

Lorna irungu- macharia afariki kutokana na virusi vya koronaLorna irungu macharia amefariki kutokana na janga la korona hii ni baada ya familia yake kutoa tangazo hilo.Alikuwa mkurungezi mtendaji kwenye kampuni ya gina din group ambalo ni linashughulika na maswala ya mawasiliano.Lorna amefanya kazi katika nation fm kama mtangazaji na kwenye televisheni ya ktn kama mtangazaji wa kipindi cha omo pick a box.Kwa miaka ishrini amekuwa na ugojwa ujulikanao kama lupus na kufanyiwa operashani ya figo mara kadhaa.Waliotuma rambi rambi zao ni Pamoja na waziri wa utalii najib balala akisema kuwa lorna alikuwa rafiki na mtaalamu katika vyombo vya habari na mawasiliano na mungu ailaze roho yake pahali pema peponi.

Create your website with WordPress.com
Get started